Wananchi mbali mbali katika Jumba la Michenzani wakiangalia promo ya Epiq Nation iliyofanyika katika uwanja wa kisonge bila kujali usalama wa maisha yao. hata hivyo hakuna mtu yoyote alipata na tatizo hadi kumalizika kwa tamasha hilo. Jumba hilo lina kuna ukubwa wa horofa zisizo pungua tano.